• Breaking News

  Oct 9, 2016

  Video: Chris Brown, Alikiba, Wizkid, Vanessa Wanogesha Tamasha la Mombasa Rocks

  Wapenzi wa muziki mjini Mombasa, Kenya, Jumamosi hii walishuhudia moja ya matamasha makubwa zaidi kuwahi kufanyika. Tamasha la Mombasa Rocks, lilimdondosha msanii wa Marekani, Chris Brown kwa mara ya kwanza Afrika Mashariki.

  Alisindikizwa na Wizkid, Alikiba, Vanessa Mdee na wengine. Tazama baadhi ya show kwenye tamasha hilo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku