• Breaking News

  Oct 3, 2016

  VIDEO: Kijana Aliyetobolewa Macho Mawili Ameelezea ilivyokuwa Siku ya Tukio

  Leo October 2 2016 Ayo TV pamoja na millardayo.com ilifika nyumba kwa kijana ambaye alipoteza macho yake mawili baada ya kuchomwa na visu na mtu aliyejulikana kuwa ni kibaka maeneo ya Buguruni.

  Sid Ally alikuwa akisimulia tukio hilo mbele ya  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul makonda…’Nilikuwa natoka kazini majiri ya saa nne usiku nikawa nimesimama maeneo ya Buguruni na nunua Kuku kwa ajili ya kupeleka nyumbani ndio alipokuja mtu kwa nyuma yangu na kuomba nimsaidie‘

  ‘Baada ya muda yule mtu akanichoma kisu kwenye bege langu nikawa na piga kelele watu wanisaidie lakini sikupata msaada pale watu wote walikuwa wananiangali tu‘ Said Ally

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku