• Breaking News

  Oct 30, 2016

  Video & Picha: Basi la Abiria Lateketea Kwa Moto Vituo 4 Kabla ya Kuingia Ubungo, Dar

  Basi lenye namba za usajili T990 AQF la kampuni ya Safari Njema liililokuwa likitokea Dodoma kuja jijini Dar, limeteketea kwa Moto maeneo ya Kimara Stop Over-Suka,mara baada ya kugongana na Lori lililokuwa limebeba shehena ya mifuko ya Cement (namba zake za usajili hazikujulikana mara moja),jioni ya leo,Inaelezwa kuwa mali zote zilikowemo katika basi vimeteketea kabisa kwa moto,hali ya abiria waliokuwemo ndani ya basi hilo tutawaleta taarifa kamili itakayotolewa na Jeshi la Polisi. VIDEO:

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku