• Breaking News

  Oct 2, 2016

  VIDEO: Polisi Akipokea Rushwa live Bila Chenga

  Tukio hili limetokea eneo la Mahonda visiwani Zanzibar Polisi ambaye alijitambulisha kwa jina la ALLY akiwa anapokea Rushwa ya Elf 60 kutoka kwa Dereva ambaye sio raia wa Tanzania pia hakuwa na leseni ya kuendeshea Gari na baada ya hapo akawa anamfundisha jinsi ya kujibu pindi atakapo kamatwa na polisi wengine.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku