Gari aina ya Scania limeteketea kwa moto mjini Dodoma Jumamosi, Oct 9, maeneo ya Kisasa Sheli kwa Malanga. Haikuweza kufahamika mara moja chanzo cha moto huo. Hakuna majeruhi walioripotiwa. Tazama Video:


Post a Comment

 
Top