Oct 18, 2016

Video: Staa wa Nollywood aikosoa kauli ya Rais Buhari kuwa mkewe pahale pake jikoni

Muigizaji mkongwe wa Nollywood, Hilda Dokubo, amezungumzia kauli tata ya Rais Muhammadu Buhari ‘Mke wangu pahala pake ni jikoni.’


Kiongozi huyo wa Nigeria amekosolewa vikali kwa kusema kuwa mke wake Aisha, pahala pale ni jikoni na kwenye ‘chumba kingine’ baada ya kukosoa hadharani uteuzi wa yadhifa kadhaa wa mumewe.

Mrs. Dokubo amepost video kwenye akaunti yake ya Instagram na kupinga maneno ya Buhari.

“My name is Hilda Dokubo and I am a woman. I do not belong to the kitchen, I go to the kitchen to fix food for my family and myself. We eat there sometimes but I do not belong there. I do not belong to the bedroom either, I sleep there, it is my rest place, my things are there but I don’t belong there. I do not belong to the sitting room, it is a lounging place, I rest there, I watch television,” anasikika Hilda akisema kwenye video hiyo.

Ameongeza, “I do not belong to the other room; because I do not know where the other room is in my house except that this other room sounds like the toilet. I can not belong to the toilet. I am a woman I deserve my rights to be a human being and to be respected.”


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR