Oct 29, 2016

VIDEO: Takwimu Zilizomfanya Waziri Mwigulu Ashawishi Kocha Hans Arudi Yanga

Hatimae majadiliano yaliodumu kwa siku takribani tatu yakisimamiwa na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Lameck Nchemba, yamezaa matunda baada ya kocha Hans kuombwa abadili msimamo wake na arudi kazini kama kawaida, waziri Mwigulu ameeleza pia sababu na takwimu zilizomfanya ashawishi uongozi kumuomba kocha Hans van Pluijm arudi.

“Mimi nilichozingatia hadi kushawishi uongozi kumuomba kocha Hans van Pluijm arudi mimi kama mdau wa Yanga na mwanamichezo niliona timu ipo kwenye mashindano,  lakini ina takwimu nzuri tangu mwalimu amekuja timu imechukua Ubingwa mara mbili mfululizo, tangu aje mwaka jana timu ilishinda vikombe vyote kuanzia Ngao ya Hisani”


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR