• Breaking News

  Oct 27, 2016

  VIDEO: Waziri Lukuvi Ametaja Maamuzi Yaliyochukuliwa Katika Shamba la Sumaye Mabwepande


  Eneo la shamba ambalo liko maeneo ya Mabwebande linalomilikiwa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye  ambalo linadaiwa kuwa wananchi walilivamia baada ya kuona haliendelezwi kwa muda mrefu na kuweka makazi katika shamba hilo lenye hekari 33.

  Leo October 27 2016 mbele ya waandishi wa habari Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi, waandishi wamemuliza kuhusu ulipofikia mgogoro wa shamba hilo ambapo alijibu kuwa wameshatoa notice ya kumfutia umiliki wa shamba Sumaye sababu ni kwamba hajaliendeleza shamba hilo, Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku