Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) leo vimesusia uchaguzi wa Meya wa Manispaa wa Kinondoni kwa kile walichodai kuwa Mkurugenzi alikata majina ya wajumbe wake kinyume na taratibu.

Vyama hivyo vimeeleza kuwa wajumbe wao waliokuwa halali kupiga kura walikuwa ni wengi kuliko wale wa CCM na ndio maana Mkurugenzi akachukua hatua hiyo ili kuisaidia CCM kushinda.

Mbunge wa Kawe na Kiongozi wa Madiwani Manispaa wa Kinondoni, Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari baada ya Madiwani wa UKAWA kususia uchaguzi wa Meya.
Halima Mdee


Post a Comment

 
Top