• Breaking News

  Oct 23, 2016

  Wafungwa 174 Watoroka Gerezani Baada ya Kumuua Mlinzi


  HAITI: Wafungwa 174 wafanikiwa kutoroka Gerezani jana baada ya kumuua Mlinzi huku wengine 100 wakikamatwa wakijiandaa kutoroka pia.

  Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, imesema kuwa mpaka sasa hakuna taarifa sahihi za namna Wafungwa hao walivyofanikisha tukio la kutoroka.

  Aidha Ubalozi wa Marekani nchini Haiti umewaonya raia kuwa eneo la karibu na Gereza hilo kuwa ni sehemu ya hatari zaidi.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku