• Breaking News

  Oct 17, 2016

  Walimu Wamtisha Rais Magufuli Wampa Siku 15

  Chama cha walimu tanzania (CWT) kwa kushirikiana na walimu nchini kimempa siku 15 rais magufuli kuwalipa madai yao ya mda mrefu ikiwa pamoja na kuwapandisha vyeo madaraja kuwalipa pesa zao za likizo pia chama cha walimu kwa kushirikiana na walimu kimeomba tume za wafanyakazi hapa nchi kusimamia ipasavyo kazi zake kwa sababu kumekuwepo na unyanyasaji mkubwa kwa watumishi wa umma wakitoa mfano kuwa kuna watumishi wa umma waliajiriwa mwezi wa sita 2016 baada ya kusainishwa mikataba na kuanza kazi ajira zao zilisitishwa bila kufata utaratibu chama cha walimu tanzania kinaitumia lawama tume za wafanyakazi tanzania kuwa zimejisahau kufanya majukumu ya kutetea haki za watumishi wa umma.

  Source:Tanzania Daima

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku