• Breaking News

  Oct 11, 2016

  Wasira Alalamika Tundu Lissu Kumuuliza Maswali Magumu, Aomba Maji Mahakamani

  Ama kweli kichwa kilicholala sikuzote huwaza mambo yaliyolala,alidhani mahakamani ataulizwa umekula nini jana? ama alidhani wapo mahakamani kupiga soga? kumbe Lissu yupo kazini kuhakikisha mteja wake anapata haki zake anazostahiri,hebu pumzika kwasasa mzee wasira toka enzi za mzee nyerere,mwinyi,mkapa,kikwete upo na kwa mzee maghufuli uwepo? sasa kama mahakamani umeomba maji kwa kuzidiwa maswali na maswali magumu,next time utaomba dawa za pressure ama doctor aletwe mahakamani

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku