• Breaking News

  Oct 24, 2016

  YANGA Yamleta Kocha Mpya Kisiri na Kumsainisha Mkataba wa Miaka Miwili


  DAR: Kocha Mzambia aliyekuwa akiinoa Klabu ya Zesco United ya Zambia, George Lwandamina amesaini mkataba wa miaka 2 wa kuifundisha Klabu ya Yanga.

  Kocha huyo alitua jijini Dar kwa usiri huku uongozi wa Yanga ukimficha kwa kile kilichotajwa kutotaka kuivuruga timu ambayo imerejea kwenye kiwango chake.

  Inadaiwa pia Yanga huenda ikalifumua benchi kote la ufundi la sasa.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku