Muswada wa Huduma za Habari: Waziri Nape amshukia mbunge Zitto, adai anaupotosha umma. Zitto naye amjibu, asisitiza kuna nia ovu.
Takribani hoja sita ndizo zimeleta utata katika muswada huo ikiwemo hoja inayohusu Mitandao ya kijamii.
Mzozo huu umekuja baada ya serikali kuwasilisha bungeni Muswada wa kutunga Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ambapo mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe akadai ni muswada wa hatari.


Post a Comment

 
Top