• Breaking News

  Nov 25, 2016

  Ajali Mbaya..Gari Lagonga Treni na Kuua Watu Wawili


  AJALI: Gari aina ya Prado ikielekea Ifakara jana saa 7 mchana iliigonga Treni eneo la Kiberege watu wawili waliokuwa kwenye Prado walifariki papo hapo.

  Kwa mujibu wa shuhuda mmoja anadai kuwa ni uzembe wa dereva wa gari ambapo alikuwa anavuka reli pasipo kutizama kama kuna treni

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku