• Breaking News

  Nov 20, 2016

  Ajali ya Treni Yaua Watu 95 Huku Wengine 150 Wakijeruhiwa


  KANPUR, INDIA: Takribani watu 95 wafariki dunia, wengine zaidi ya 150 wajeruhiwa baada ya treni ya abiria kupata ajali mapema leo.

  Kati ya majeruhi 150, 40 wamejeruhiwa vibaya. Juhudi za uokoaji zinaendelea ili kuiokoa miili mingine takribani 70 ambayo imenasa kwenye vyuma vya treni.

  Mji ambao ajali imetokea upo takribani Maili 300 Kusini Mashariki mwa mji mkuu wa nchi hiyo New Delhi.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku