• Breaking News

  Nov 18, 2016

  Anguko la Mabenki: Barclays Yawaambia Watumishi "Hali ya Benki Kifedha Si Nzuri", Ni Hasara tu

  Kwa mara ya kwanza katika historia ya mabenki ukiacha enzi zile za Meridian Biao, ni wazi sekta ya benki inapitia hali tete na kama hatua zisipochukuliwa, miaka miwili ijayo tutabaki na benki moja tu hivyo wajasiliamali kulazimika kupanga foleni miezi hata mitatu minne kupata mkopo.

  Barclays nao wamewaambia wafanyakazi wao kwamba benki yao inapitia kipindi kigumu kifedha na wameamua kufuta baadhi ya shughuli ndogo kabisa kama family day. Hii ni ishara kubwa kwamba nao wamepata hasara baada ya CRDB.

  SOURCE:Jamii Forums

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku