Nov 17, 2016

Arusha: Lema Arudishwa Mahabusu, Kesi Yaahirishwa Tena

Kesi ya jinai no 440, 441 inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema imearishwa hadi Tarehe 22-11-2016 siku ya Jumanne hivyo basi Mh Mbunge kurudishwa tena Magereza.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR