Nov 2, 2016

Bei ya Mafuta ya Petroli na Dizeli Yapanda....


Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta, bei ya Petroli yaongezeka kwa Shilingi 33.

Dizeli imeongezeka kwa Shilingi 21 na mafuta ya taa yameongezeka kwa Shilingi 11.

Bei hizo zinaanza kutumika rasmi kuanzia leo tarehe 2/11/2016


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR