• Breaking News

  Nov 8, 2016

  Breaking News: Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai Afariki Dunia


  Habari za kushtusha toka chanzo cha kuaminika Hospitali ya Muhimbili kinathibitisha aliyewahi kuwa waziri wa Elimu ndugu Joseph Mungai na Mbunge wa Mufindi amefariki Dunia.!

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku