Nov 13, 2016

CHADEMA Yalaani RAMBIRAMBI za Tetemeko Bukoba Kuliwa na Serikali.

Kama Chama tumelaani kupitia Baraza la Madiwani kwa Taarifa iliyotolewa na Meya nakala zimetolewa kwa Rais Waziri Mkuu Waziri wa maafa Mkuu wa Mkoa Mkuu wa Wilaya na Viongozi wote wa dini. Pia Mbunge Mh Lwakatare amelisemea Bungeni, tumelaani vikali kitendo cha Waathirika kupewa misaada ya Biscuti tu wakati shida yao kubwa ni Makazi.

Tumeitaka Serikali itoe misaada ya Vifaa vya ujenzi na fedha kwa Waathirika watetemeko. Sasa ni Wakati wa sote kwa pamoja kuwaeleza Wananchi kwamba Serikali hisiyo wahudumia Wananchi wake wakati wa Maafa na shida na kwa kutoa HUDUMA zinazo sitahili.

Serikali hiyo inakuwa imejiondolea uhalali wa kuchaguliwa.

Imetolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Bukoba

Jenerali Victor Sherejey

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR