LAGOS, NIGERIA: Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo 3 katika tuzo za Afrimma 2016. Tuzo hizo zimefanyika usiku wa kuamkia leo.

Moja ya tuzo aliyoshinda ni Nyimbo ya Mwaka kwa kibao chake cha Utanipenda.

Pamoja na ushindi huo, Diamond pia alitumbuiza wimbo alioimba na Papa Wemba, msanii aliyetunukiwa tuzo ya heshima.

Wasanii wengine waliotumbuiza ni pamoja na Patoranking, P-Square, Falz, Eddy Kenzo, Avril, Simi, Darey, Phyno, Seyi Shay na wengine.


Post a Comment

 
Top