• Breaking News

  Nov 22, 2016

  Eric Shigongo wa Magazeti ya Uwazi Aishutumu CCM Kwa Kukataa Kumlipa Baada ya Kuwafanyia Kazi


  Mjasiriamali, Eric Shigongo amekilalamikia CCM kwa kumzungusha kuhusu malipo yake kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu sasa tangu afanye Biashara na Chama hicho.

  Asema mpaka sasa mali zake zipo mbioni kupigwa mnada kutokana na kukopa ili aweze kusambaza baadhi ya vitu kwa ajili ya chama hicho kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa 2015.

  Adai kuwa huwatumia ujumbe wa simu baadhi ya viongozi wakubwa wa chama hicho akiulizia kuhusu fedha zake lakini huwa hawamjibu.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku