• Breaking News

  Nov 18, 2016

  Ester Bulaya amshinda Stephen Wasira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

  Taarifa kutokea Bunda: Mbunge wa jimbo la Bunda-mjini, Esther Amos Bulaya, ameshinda kesi yake ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili, iliyofunguliwa na wanachama 4 wa CCM na aliyekuwa mgombea ubunge wa chama hicho, Steven Wassira.., kesi hiyo ya kupinga matokeo ya uchaguzi ilifunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, lakini ilikuwa inasikilizwa mjini Musoma, Mara.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku