• Breaking News

  Nov 24, 2016

  FULL VIDEO: Mwenyekiti Alivyochukuliwa na Polisi Mbele ya Wananchi Kwa Agizo la Makonda

  Imetokea kwenye ziara ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda  inayoendelea kwenye jiji la Dar es salaam ambapo November 23 alipita kwenye wilaya ya Ilala ambapo gumzo limemuangukia Mwenyekiti wa mtaa wa Gongo la Mboto na akachukuliwa na Polisi, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini:

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku