Nov 8, 2016

Idriss Sultan Atamani Mrembo Lulu Michael Amzalie Mtoto..

Mshindi wa Big Brother mwaka 2014 Idris Sultanamemtaja mrembo wa Bongo Movie Elizabeth Michael maarufu kama Lulu kuwa ndiye msichana ambaye anaishi katika ndoto zake kwasasa.
Akiongea na Perfect255 Idris Sultan ameiambia kuwa Lulu ndiye msichana ambaye anahisi ametulia kwasasa ukilinganisha na mastaa wengine wa Bongo Movie na kujikuta akimmwagia sifa kibao.Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR