• Breaking News

  Nov 8, 2016

  Kangi Lugola Adai Mkataba wa EPA Utatuletea USHOGA, Asisitiza Serikali Isiusaini ili Kuwalinda Wanaume

  Mbunge  wa Mwibara Kangi Lugola, ameupinga  kwa  nguvu  zake zote  mkataba  wa EPA kwa madai kwamba hauna manufaa yoyote kwa taifa letu na kwamba ndani ya mkataba huo kuna vishiria vya USHOGA

  Lugola aimeitaka serikali isiusaini mkataba huo ili kulinda maumbile ya wanaume yanayotaka kuharibiwa kupitia mkataba huo.

  Msikilize hapo chini alipokuwa akitoa mchango wake bungeni

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku