• Breaking News

  Nov 6, 2016

  Kichagua Mume ni Kuchagua Maisha...


  Usiharakishe kuolewa/kuoa eti kisa umri umeenda, na usiwahi kuolewa sababu una wengi kwenye list yako, unaweza fanya chaguzi zote lakini uchaguzi nani awe mumeo au mkeo ni uchaguzi unahitaji umakini mkubwa sana maana ni maisha yako kiasi kwamba kama huwa hausali ndo muda wa kumtafuta Mungu kuliko wakati wowote au kumtafuta mganga wako uwe na hakika kwamba unaenda kuishi na mtu sahihi... .
  .
  Fikiria tena kwa makini, kisha toa maamuzi sahihi, unaitaka furaha au kitanzi mbele yako...nakutakia uchaguzi mwema!
  #mrekebishatabia

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku