Kifaa hicho chenye urefu wa mita 4.5 na upana wa 1.2 kimeanguka Ijumaa hii na kutoboa paa la nyumba iliyopo karibu na eneo hilo.

Maafisa kutoka idara moja ya ulinzi na usalama iliyopo mjini hapo wanasema kuwa kifaa hicho kilitembea umbali wa mita 50 kilipoanguka kabla ya kutua eneo moja lenye matope.

“Initially, we thought it was a battle. The explosion made our houses shake. We saw the smoke from our village,” amesema mmoja wa wakazi wa eneo hilo.

Source: BBC


Post a Comment

 
Top