Nov 2, 2016

Kuisoma Namba: Mali za Kampuni ya Mohamed Trans (Yakiwemo Mabasi) Kupigwa Mnada na TRA

Mali za kampuni ya Mohamed Trans Limited zitapigwa mnada na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) baada ya kushindwa kulipa limbikizo lake la kodi analodaiwa.

Kampuni hiyo pamoja na mali nyingine, inamiliki mabasi ya Mohamed Trans yanayofanya safari zake kwenye mikoa mbalimbali.

Mnada huo utafanyika tarehe 4/11/2016.

Mnada huo utaendeshwa na Kampuni ya udalali ijulikanayo kama Sukah Security Company Limited Auction Mart & Court Broker.

Mnada huo utafanyika mkoani Shinyanga katika Yard ya Mohamed Trans.

MY TAKE: Ni mwendo wa kuisoma namba. Watu walishazoea vya kunyonga!

Siasa Huru App Inapatikana Google Pay Store


POST A COMMENT

No comments:

Post a Comment