Equatorial Guinea: Waendesha Mashtaka nchini Uswisi wameyakamata magari 11 ya kifahari ya Mtoto wa Rais ambaye pia ni Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Teodorin Obiang Nguema

Magari hayo yamechukuliwa sababu anatuhumiwa kwa rushwa na utakatishaji fedha

Miongoni mwa magari hayo ni gari la Porsche la thamani ya zaidi ya $830,000 (£667,000) na Bugatti Veyron linalouzwa $2m (£1.7m).


Post a Comment

 
Top