• Breaking News

  Nov 4, 2016

  Magufuli: Ajira Mpya Zinaendelea, Zilisimama Kwa Miezi Miwili Pekee

  Leo Rais Magufuli amesema ajira zilisitishwa kwa muda muda mfupi na sasa zilishafunguliwa na serikali imeajiri watu 5000 hadi sasa katika vyombo mbalimbali.

  Kama umekaa unasubiri ajira zifunguliwe serikalini,basi ndo ujue zilifunguliwa miezi miwili tu tangu zifungiwe.

  Ngoja namba iendelee kusomeka.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku