• Breaking News

  Nov 20, 2016

  Makonda"Asilimia 20 ya Wafanyakazi Serikalini Ndio Wanaofanya Kazi Kwa Ufanisi, Asilimia 80 ni Umbea na Majungu'


  DAR: Mkuu wa Mkoa, Makonda asema ipo haja kupunguza idadi ya Watumishi Serikalini. Adai wanaofanya kazi kwa ufanisi hawazidi 20%. Amedai kuwa asilimia 80 hawafanyi kazi zao kikamilifu, kazi yao ni kupiga umbea na majungu ofisini.

  Je, unakubaliana na mtazamo huu wa Mkuu wa Mkoa?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku