Wizara ya Nishati na Madini imevipiga marufuku Viwanda vya Saruji nchini kuagiza Jasi(gypsum) na Makaa ya Mawe kutoka nje ya nchi.

Wizara hiyo imesema nchi ina hazina ya kutosha ya Makaa ya Mawe pamoja na Jasi(Gypsum). Viwanda vitakavyokiuka agizo hilo kuchukuliwa hatua kali


Post a Comment

 
Top