Nov 10, 2016

Mastaa Waliombeza Donald Trump na Kusema Watahama Nchi Akishinda Waanza Kuhaha....

By Seif Kabelele
Kuna ule msemo maarufu siku hizi, ‘Usiempenda kaja’ ndiyo tunaweza kusema sasa unatumika kwa watu waliompinga Trump na huku akiwa ameshinda kiti cha Urais Marekani.

Waliotamka maneno hayo walijiapiza kuwa akishinda watachukua uamuzi mgumu, je, watafanya kama walivyoahidi?

Mwandishi wa Vitabu na mtunga mashairi, wa Nigeria, anayeishi Marekani, Wole Soyinka, alijiapiza kuwa Trump akishinda atachana kibali maalum cha kuishi Marekani.

Nyota wa Hollywood Samuel L Jackson alisema atahamia Afrika Kusini iwapo Donald Trump atashinda uchaguzi wa urais Marekani, tovuti ya News 24 iliripoti.

Mastaa wengine walioahidi kuhama Marekani endapo Trump atashinda ni pamoja na Miley Cyrus ambaye ni muigizazi. Moja ya muvi alizoigiza ni Hanna Montana nani Mwanamuziki pia. kupitia ukurasa wake wa Instagram Cyrus alisema Trump akishinda yeye atahamia Canada.

Muigizaji Neve Campbell na mtunzi wa Filamu Lena Dunham walisema watahamia Canada.Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR