• Breaking News

  Nov 27, 2016

  MBINU Saba Ambazo Majasusi wa Kimarekani Walizitumia Kutaka Kumuua Fidel Castro

  Shirika la Ujasusi Cuba (DI) limesema kwamba Shirika la Ujasusi Marekani (CIA) lilijaribu kumuua Rais wa zamani wa Cuba, Fidel Castro kwa mbinu mbalimbali mara 638. Hizi hapa chini ni mbinu saba zilizotumika kujaribu kumuua.

  1. Sigara yenye karatasi juu ya simu aina ya Botulinium Toxin

  2. Nguo maalum ya kuogelea yenye sumu

  3. Seashell ya mlipuko

  4. Kalamu yenye sumu,

  5. Kuchora mfano wa njia ukutani ili apite kwa gari ya kasi na kufa kwa ajali

  6. Kutengeneza mrembo wa kuvutia lakini ambaye mwili wake utajazwa milipuko ambayo ingelipua moyo wa Castro

  7.  Kuweka viungo vikali Katika chakula ambavyo vina nguvu ya kumtoa Castro machozi hadi kufa.

  Fidel Castro amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 90. Alikuwa ni kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Cuba na Rais aliyeongoza kuanzia mwaka 1976 hadi 2008 alipokabidhi madaraka kwa mdogo wake, Raul Castro ambaye ndiye rais hadi sasa. Kabla ya hapo Fidel Castro alikuwa ni Waziri Mkuu wa Cuba kuanzia mwaka 1959 hadi 1976.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku