• Breaking News

  Nov 9, 2016

  Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Avifutia Usajili wa Kudumu Vyama Vifuatavyo


  Msajili wa vyama vya siasa Tanzania amevifutia Usajili wa kudumu vyama vifuatavyo baada ya zoezi la uhakiki kufanyika na kuona havikidhi CHAUSTA, APPT MAENDELEO NA JAHAZI ASILIA.

  Jaji Mutungi amefikia uamuzi huo kutokana kuwa vyama hivyo vimekuwa na ofisi upande mmoja jambo ambalo ni kinyume na kifungu 10d ambacho kinakitaka chama cha siasa kuwa na ofisi pande mbili kwa maana ya Tanzania Bara na Zanzibar.

  Lakini sasabu ya pili ni kutokuwa na wanachama Zanzibar kwa mujibu wa kifungu 10b pia kushindwa kuweka wazi mapato na matumzi ya fedha za chama kama kifungu cha 14 (1) (a) kinavyoelekeza.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku