Nov 25, 2016

Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kenyan Airways Ajiuzulu Kufuatia Shinikizo la Wafanyakazi


KENYA: Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kenyan Airways amejiuzulu kufuatia shinikizo la muda mrefu la wafanyakazi wakitaka aachie ngazi kwa utendaji mbovu.

Uamuzi huu unakuja ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Bwana Dennis Awori ajiuzulu.

Wafanyakazi hao wanaulalamikia uongozi kwa kusababisha baadhi abiria kuchelewesha safari zao kutokana na ndege kutofika kwa wakati unaostahili.


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR