MULEBA, KAGERA: Mwalimu Azari Kareshu wa Shule ya Msingi Kakindo akamatwa na Polisi kwa kumbaka mwanafunzi wa kike mwenye miaka 14.

Mwanafunzi huyo wakike aliyebakwa alikuwa yupo darasa la sita katika shule hiyo.

Kufuatia tukio hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Muleba, Emmanuel Sherembi amemsimamisha kazi kwa muda mwalimu huyo.


Post a Comment

 
Top