• Breaking News

  Nov 15, 2016

  Mwanariadha Mlemavu, Oscar Pistorius Ahamishiwa Katika Gereza


  AFRIKA KUSINI: Mwanariadha mlemavu, Oscar Pistorius ahamishiwa katika Gereza lenye mazingira rafiki kwaajili ya walemavu na katika Jela hiyo ndio atamalizia kifungo chake cha miaka 6.

  Hapo awali Mwanariadha huyo alikuwa mfungwa katika Gereza la Kgosi Mampuru II lililopo katika Mji Mkuu wa Pretoria na sasa amehamishiwa Atteridgeville Correctional Centre Gereza ambalo lipo nje kidogo ya mji.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku