• Breaking News

  Nov 14, 2016

  Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere.

  Katika kipindi cha this week in perspective TBC, Prof Kitila Mkumbo ameasa watu waache kumlinganisha Rais Magufuli na Hayati Baba wa Taifa,rais wa kwanza wa Tz.
  Mwalimu alikuwa ni mtu wa mawazo ya kifalsafa na vitendo kwa kufuata taratibu.
  Mwalimu hakuwa kidhani na demokrasia.

  Amemalizia kwa kusisitiza ni watu wawili wanaopishana kwa ulekeo tofauti.
  Ingawa rais anapambana na rushwa, lakini asiibane demokrasia maana ndio pekee itamfanya afanikiwe dhima yake.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku