Nov 11, 2016

Rais Magufuli Akimfariji Mke wa Marehemu Samweli Sitta...Mwili Wapelekwa Bungeni


Rais Magufuli akimfariji mke wa Marehemu Samweli Sitta, Mama Magreth Sitta katika tukio la kuuaga mwili wa marehemu lililofanyika katika viwanja vya Karimjee, Jijini Dar

Mwili umepelekwa Bungeni Dodoma ambapo leo kwa mara ya kwanza jeneza litaingizwa ndani ya Bunge ili wabunge watoe heshima za mwisho

No comments:

Post a Comment