• Breaking News

  Nov 24, 2016

  RC Makonda Amuweka Ndani Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Akiwa Mkutanoni

  Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuweka ndani Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Gongo la Mboto papo hapo baada ya kutuhumiwa kutoitisha vikao vya mapato na matumizi, hata baada ya kujitetea.

  Aidha Mkuu huyo wa Mkoa aamuru M/kiti Mtaa wa Gongo la Mboto akamatwe baada ya kutuhumiwa hadharani kutengeneza risiti feki.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku