• Breaking News

  Nov 11, 2016

  Rio Ferdinand: Manchester Wamefeli

  Mchezaji wa zamani wa Manchester united Rio Ferdinand ameonyeshwa hisia zake wazi kwa kuwa huzunishwa jinsi Manchester ilivyokosa saini ya mchezaji mwenye miaka 19 Renato Sanches.

  Manchester united ilikua karibu kupata sign ya mchezaji huyu mwanzoni mwa mwaka huu lakini Bayern Munich ikampata kwa kiasi cha Pound milioni 29. Rio alisema,“Kama ningekuwa nahusika na scouting ya Manchester united, Sanches angekuwa Manchester tayari. Renato ni mchezaji wa kisasa, ana nguvu, mbinu, anashuti na kupiga pasi. Nampenda sana kwasababu ni mdogo na anachukua majukumu yake vizuri”.

  Sanchez ameshinda kombe la Euro 2016 na kushinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri mdogo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku