Nov 13, 2016

Serikali Imewaomba Walioathirika na Tetemeko Kagera Wajijengee wenyewe Nyumba, Pesa za Misaada Zinapelekwa Taasisi za Serikali

Kuna Video ambayo inasambaa mitandaoni (hususani Whatsapp) yenye inayosema Serikali imewaomba wakazi wa Kagera walioathirika na tetemeko kujijengea wenyewe kwani michango iliyochangwa na wadau imeelekezwa kwenye taasisi za serikali."

Tazama Video:

No comments:

Post a Comment