• Breaking News

  Nov 23, 2016

  Si Huwa Mnasema Wanasheria wa Serikali ni Wachovu, Mbona Bado Mnahenya Kwenye Kesi ya Lema?

  Kwa mda mrefu kumekuwa na dharau na kejeli zisizo mithilika kwa wanasheria wa serikali kuhusu uwezo wao.

  Kwa upande mwingine kumekuwa zikitolewa sifa zilizopitiliza kwa mawakili na hasa hawa mawakili wa CHADEMA kama wao ni wajuvi sana wa maswala ya sheria

  Sasa kwenye hili sakata la Lema wanasheria wa serikali wameamua kuwaonyesha kwamba mambo ya sheria wanayajua sema tu huwa wana amua tu kuwalegezea

  Naona sasa wiki ya tatu hii linalojiita Jopo la mawakili wa CHADEMA wanaendelea kusugua gaga na matokeo bado bilabila.

  Kulikoni? Vipi bado wansheria wa serikali ni wadhaifu?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku