• Breaking News

  Nov 2, 2016

  Sikiliza Jinsi Godbless Lema Alivyosema Kuwa Rais Asipojirekebisha Atakufa

  Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema leo amesema kuwa amepata maono juu ya Rais Dkt John Pombe Magufuli kuwa asipobadilika atakufa.

  Gobless Lema ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akichangia mjadala ambapo alisema kuwa wabunge na Bunge halina nguvu kwa sababu ya woga walionao kwa Rais. Alisema wabunge na mawaziri wamekuwa wanafiki kitu kinachopelekea hadhi ya bunge kushuka.

  Akizungumza ndani ya ukumbi wa Bunge, Godbless Lema alisema kuwa yeye ni muombaji na Mungu amemuonyesha kuwa Rais asipobadilika atakufa.

  Hapa chini ni sauti ya Mbunge Godbless Lema akizungumza bungeni. Sikiliza Hapa:

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku