Ameandika Mwigulu Nchemba:
#Hii ni sehemu tu ya maisha niliyopita,Hapa nikiwa nachunga mifugo ya mzee kijijini kwetu Makunda-Iramba.Weka malengo,nidhamu,jitihada bila kusahau Mungu.

Anayeijua kesho yako ni Mungu,usiwekeze kwenye kulalamika tu,inuka pambana kwaajili ya maisha yako na kizazi chako.


Post a Comment

 
Top