Nov 12, 2016

Tazama Video Mpya ya Wimbo wa Rosa Ree Kutoka The Industry iliyoko Chini ya Nahreel

Rapper Mkali wa Kike kutoka Tanzania Rosa Ree Aliyoko chini ya lebo ya Mziki ya The Industry siku ya leo ameachia Rasmi wimbo wake wa Kwanza unaoitwa One Time, Video Imefanywa South Africa na Director Justin Campos
Nimekuwekea Link ya Kudownload Wimbo Huo Hapa chini na Video:

No comments:

Post a Comment