Nov 10, 2016

Tuzo za EATV AWARDS zataja Vipengele Vingine Viwili vya Filamu

Tuzo za EATV (EATV AWARDS) zimetangaza wasanii wengine kumi wanaoshiriki katika vipengele viwili vipya ikiwa ni siku moja toka watangaze vipengele viwili.

Wasanii waliotangazwa leo ni katika kipengele cha filamu bora ya mwaka na kipengele cha muigizaji bora wa kike.

Kipengele cha muigizaji bora wa kike
Nominee: Chuchu Hansy (Laura)
Nominee: Khadija Ally (3 Days)
Nominee: Frida Kajala Masanja (Hii ni laana)
Nominee: Rachael Bitulo njingo (Nimekosea wapi)

Kipengele cha filamu bora ya mwaka
Filamu iliyoingia- Safari ya gwalu
Filamu iliyoingia- Hii ni laana
Filamu iliyoingia- Mfadhili wangu
Filamu iliyoingia- Nimekosea wapi
Filamu iliyoingia- Facebook profile
Siasa Huru App Inapatikana Google Pay Store


POST A COMMENT

No comments:

Post a Comment